Bwana ni Nguvu yangu

Lyrics:

Bwana ni nguvu yangu,
Na Ngao yangu
Wokovu wangu

Pazeni Sauti,
Shangwe na nderemo
Tumshangilie ehhh….,
Yesu ni wetu

Milele na milele,
Amemshinda shetani,
Tumshangilie ehhh
Bwana ni wetu

Source: Bwana ni Nguvu yangu Lyrics - Sifa Music