Nikilia Yahweh

Lyrics:

Jina lako linapita majina yote 

Tukikuita Baba wewe waitika 

Sikio lako sio nzito usisikie Baba 

Tukiatapo waitika waitika 


Ni wewe pekee yako 

Nguvu zako zimezidi nguvu za wafalme wa dunia 

Oh bless the name oh oooh eeeh ooh 


Nikilia Yahweh wanisaidia Bwana 

Nikilia Yahweh wanisaidia 

Msaada wangu huwezi kushindwa 

Msaada wangu huwezi kushindwa 


Nikilia Yahweh wanisaidia Bwana 

Nikilia Yahweh wanisaidia 

Msaada wangu huwezi kushindwa 

Msaada wangu huwezi kushindwa 


Source: Nikilia Yahweh Lyrics - Tafes Aru