Shindwe

  • Sovereign

Lyrics:Shindwe, Shindwe (Riswa)
Shindwe Pepo, Shindwe (Riswa)
Kwa Jina La Yesu (Kemea)
Wololololo


Alifufuka matatu
Ye ndo dere mi ndo donda
Na word nakwambia ni mbele utasonga
Utaendelea kuhate mpaka lini? Riswa!


Shindwe baki huku chini
Ni nguvi za nani zilipasua maji?
Mi hapana rapper niitwe mchungaji
Milele anichunge na message niwapatie
Asichoke kuniongoza
Na ni ukweli ye ndo mimi


Shetani nakataa, zii zii zii
Akanipa identity, son of King
Shenzi alikuja tu kuharibu
Kwa God sai sai unaanikwa karibu


Kweli ni ukweli hakuna mtu perfect
Unafanya nini kuhakikisha uko safi
Wacha sheito ajue mimi ni kichwa ngumu
Kazi imenileta ni kusifu huyu MunguShindwe, Shindwe (Riswa)
Shindwe Pepo Shidwe (Riswa)
Pepo zimeshindwa (Kemea)
Ayayaya


Shindwe, Shindwe (Riswa)
Shindwe Pepo, Shindwe (Riswa)
Kwa Jina La Yesu (Kemea)
Wololololo


Niko na Bible – nayo holy
Ibilisi lazima alie woi
Pepo zote mbaya (Burn dem burn dem)
Usherati na ufisadi (Zote burn dem)


Kama kawa niki ready kama Vandem
Everytime devil anakam man I beat him
James 4 verse 7 inasema
Resist the devil and I tell you he will flee


Fitina uchawi uongo (Riswa)
Chuki madre na mangwati (Riswa)
Ushirikina instead of ushirika
Umasikini na wizi (Riswa)You better follow de father
Kuja hapa atakupeleka na rada
No, No kwa devil ni blunder
Anakudanganya kuja hapa kwa baba


Shindwe, Shindwe (Riswa)
Shindwe Pepo Shidwe (Riswa)
Pepo zimeshindwa (Kemea)
Ayayaya


Shindwe, Shindwe (Riswa)
Shindwe Pepo, Shindwe (Riswa)
Kwa Jina La Yesu (Kemea)
Wololololo


Fire fire follow me
Like the day of Pentecost
Kama kadancey kameshika
Ita Mungu kwa kanisa


Choma nguvu za giza
Na vitu vifuatavyo
Uchawi na fitina
Mateso na magonjwaChoma zote kabisa
Waka waka kabisa
Ikikuja mara tena
Sisi tutasema


Msikilizaji uliskia wapi?


Shindwe, Shindwe (Riswa)
Shindwe Pepo Shidwe (Riswa)
Pepo zimeshindwa (Kemea)
Ayayaya


Shindwe, Shindwe (Riswa)
Shindwe Pepo, Shindwe (Riswa)
Kwa Jina La Yesu (Kemea)
Wololololo


Mi nakuuliza swali
Msikilizaji uliskia wapi?
Uliskia wapi?