Usiyeshindwa - mataifa yote yanakufahamu

Lyrics:

Mataifa yote, yanakufahamu
Kuwa wewe ni Mungu usiyeshindwa

Chorus:
Usiyeshindwa, usiyeshindwa
Wewe ni Mungu usiyeshindwa

Makabila yote, yanakufahamu
Kuwa wewe ni Mungu usiyeshindwa

Na kanisa lako, linakufahamu
Kuwa wewe ni Mungu usiyeshindwa

All nations know you as the God who never fails. Source: Usiyeshindwa - mataifa yote yanakufahamu Lyrics - Sarah Kiarie