Never Never

Lyrics:

It don't matter say, It don't matter what you do
Lakini Tangu niokoke, I have never been the same
It don't matter say, It don't matter what you do
Lakini Tangu niokoke, I have never been the same

Never never, never been the same
Never been the same
Never never never been the same
never been the same

Na ... kwa hii game tushajipa
Nikupiga dua siku hizi muziki zinalipa
Nilianza kimchezo bro kujipa hustle
Lyric ilinibidi nijenge muscle
Sasa nacheki niko beat kama hotel
Niandike kitabu ka Patel...

It don't matter say, It don't matter what you do
Lakini Tangu niokoke, I have never been the same

I'am washed by the blood i ain't talking laundry
...

Na madem siku hizi wanapenda mashisha shisha
Na maboy siku hizi wanapenda kuivisha ivisha
Fungua mlango Yesu anabisha bisha
Njo uokoke you will never be the same

Never never never been the same
Tangu niokoke
never been the same Source: Never Never Lyrics - ReCapp