Kutembea Nawe

Lyrics:

Nikipoteza njia

Kwa safari nimechagua

Nisipokuwa na nguvu

Niite niite 


Niongoze kwa neema

Nifunze kwa upole wako

Hata nikikukosea 

Nisaidie Nisaidie


Natamani kutembea nawe 

Natamani kutembea nawe 

Natamani kutembea nawe 

Niongoze Niongoze 


Sielewi njia hii 

Ndo maana nakuhitaji 

Nakutegemea wewe 

Enda nami, enda nami 


Nashindwa kukupa yote 

Hata hivyo nitaamini 

Kwani najua mwisho eeh 

Kuna raha, kuna raha 


Natamani kutembea nawe 

Natamani kutembea nawe 

Natamani kutembea nawe 

Niongoze Niongoze 


Natamani kutembea nawe 

Natamani kutembea nawe 

Natamani kutembea nawe 

Niongoze Niongoze