Mungu Pekee + Cover

Lyrics:

Sijui ka n'taona kesho

Ka ningali na uwezo wa kuifanya n'taifanya hadi mwisho

Mwambieni uyo devil, simwogopi shetani, Sir God yuko nami hadi kifo

Ka ntaona kesho, nipe nguvu na uwezo wa kijana na akili za mzee

Daima ni we, Imara wasiniangushe


Naona saa, kila siku nizawadi toka Maulana

So haja gani ushike tama Mama

Majaribu huisha ooh aae!

Na hata ka Maadui zangu watashikana nao njama

siogopi nasimama, Ya kiama yao yaja eeh


Hio ndio pace nasonga nayo

Wanashangaa hakuna stress nakuanga nayo

Naishi ka sina Case mahakamani

Au madeni za majirani

Niko Fresh njee na ndani, oooh yaae!


Naamwogopa Mungu Pekee

Wanadamu kija kuntafash naomba Mungu Ntetee

Maneno yao yasiniumize nfanye sugu wewe

Wakitry kuntisha naomba nisitetemeke


I know you love me, know you love me

So I Don’t fear Nobody But You

I know you love me know you love me

NisitetemekeI know you love me, know you love me

So I Don’t fear Nobody But You

I know you love me know you love me

Nisitetemeke


Ah! Siamini joh ju vile naishi life

Ni ngumu kuamini hii si ndoto

Sijui kesho vile itakaa kwa hivyo leo

nitaifanya ka kidogo hua hairidhishi roho

Yani sana, tena sana

Hata wale wananchukia wananiheshimu bruh mi si kodogo

Ah sibabaiki nikiskia mkiongea

Nazidi kuwapa mi kisogo, nakama saa sismami

Staki life iniwache mataani mtaani

Mwenyezi nchungie familia yangu na pia

Za wale wote sauti yangu wanaiskia

Tupe afya nzuri, na maisha matamu

Barabara zetu zinyooke waone mfalme ni wewe

wakupewa shangwe ni wewe, wa kupewa shagwe ni wewe hee!


Naamwogopa Mungu Pekee

Wanadamu kija kuntafash naomba Mungu Ntetee

Maneno yao yasiniumize nfanye sugu wewe

Wakitry kuntisha naomba nisitetemeke


I know you love me, know you love me

So I Don’t fear Nobody But You

I know you love me know you love me

Nisitetemeke


I pray we, me and my people we never die

Say we live forever and forever we multiply

And wherever we go

Ni nini wanaeza nishow hata ka sina kitu

Uko na mimi kila siku Kila siku Wewe Pekee


Namwogopa Mungu Pekee

Wanadamu wakija kun'tafash naomba Mungu n'tetee

Maneno yao yasiniumize n'fanye sugu wewe

Waki-try kun'tisha naomba nisitetemeke


I know you love me, know you love me

So I Don’t fear Nobody But You

I know you love me know you love me

Nisitetemeke


Cover Video By :

Redfourth Chorus (Natena) - Mungu Pekee (cover) ft Flo & State House Girls Choir