Rafiki Huyu

Lyrics:

Nimetembea ulimwengu kote 

Sijampata rafiki kama Yesu. 

Yeye aliacha enzi yake mbinguni, 

Akajishusha duniani. 


Nimetembea ulimwengu kote 

Sijampata rafiki kama Yesu. 

Yeye aliacha enzi yake mbinguni, 

Akajishusha duniani.


Rafiki huyu ametenda mambo makuu 

Rafiki huyu alishinda ibilisi 

Rafiki huyu alishinda na mauti 

Rafiki huyu ametuandalia makao 


Hivyo inatupasa sisi wakristo 

Tujikane nafsi zetu 

Ili ajapo mara pili 

Tupae na yeye juu  


Swali ni kwako ewe mpendwa 

Ujiulize moyoni mwako 

Utakuwa upande gani? 


Onyo la mwisho ewe mpendwa 

Umkubali mwokozi Yesu 

Ili ajapo twende paradiso 

Tusipotee jehanamu 


Rafiki huyu ametenda mambo makuu 

Rafiki huyu alishinda ibilisi 

Rafiki huyu alishinda na mauti 

Rafiki huyu ametuandalia makao 


Rafiki huyu ametenda mambo makuu 

Rafiki huyu alishinda ibilisi 

Rafiki huyu alishinda na mauti 

Rafiki huyu ametuandalia makao 


Hivyo inatupasa sisi wakristo 

Tujikane nafsi zetu 

Ili ajapo mara pili 

Tupae na yeye juu