Wewe ni mwema

  • 09 May 2017
  • Israel Ezekia
  • kuabudu

Lyrics:

Najambelezako mungu wanguu, Nikiwanazo heshima zotee,
Ninakiri yale uyatendayo, Hakika wewe ni mwema

Muweza yote…
Wewe ni mwema… Haufananishwi, wewe ni mwema baba

Wewe ndiwe baba, wa mataifaa, unatenda mambo yaajabu,
Ninakiri yale uyatendayo, Hakika wewe ni mwema.

Wewe ni mwema… Haufananishwi, wewe ni mwema baba
Wewe ni mwema… Haufananishwi, wewe ni mwema baba

Source: Wewe ni mwema Lyrics - Israel Ezekia