UMETUKUKA TWAKUHESHIMU

Lyrics:

Umetukuka twakuheshimu
Hakuna mwingine kama wewe
Wewe Mungu baba yangu
nakuinua nakuabudu

Wewe mwanzo tena mwisho
Sitwasikia yudah hutashindwa
Sauti yako twaielewa
Unaponena twasikia

Niseme nini nikuinue?
Niseme nini nikuabudu?
Wewe pekee wastahili,
Wewe pekee uinuliwe.

Umetukuka twakuheshimu
Hakuna mwingine kama wewe
Wewe Mungu baba yangu
nakuinua nakuabudu
Source: UMETUKUKA TWAKUHESHIMU Lyrics - Isaac Kahura