Rada

Lyrics:

Ulivyo leo, hiyo ni ya leo 

Huenda kesho iyo rada ibadilike 

Matatizo uliyo nayo, ni ya leo 

Hizo shida ulizo nazo, ni za leo 

Huenda kesho iyo rada ibadilike 


Rada ibadilike (ulalala) 

Huenda kesho iyo rada ibadilike (ulalala) 

(rudia) 


Wamekubandika majina 

Wakakuitanisha na shida 

Hawajui kunaye, anayepeana majina 


Hawajui na hawawai jua 

Ni nini kesho Mungu amepanga na maisha yako 

Cha muhimu ni wewe kujitambua 

Na usonge na rada yake 

(rudia)


Ulivyo leo, hiyo ni ya leo 

Huenda kesho iyo rada ibadilike 

Matatizo uliyo nayo, ni ya leo 

Hizo shida ulizo nazo, ni za leo 

Huenda kesho iyo rada ibadilike 


Rada ibadilike (ulalala) 

Huenda kesho iyo rada ibadilike (ulalala) 

(rudia) 


Wanakusema sana, we kazana 

Usichoke kupambana, yote ukimwamini Bwana 

Story yako itabadilika 

Walinisema hivyo hivyo hivyo hivyo 

Ona sasa, story yangu imebadilika 

Aliyefanya hivyo hivyo hivyo hivyo 

Kwangu mimi, kwako pia atabadilisha 


hivyo hivyo hivyo hivyo 


Ulivyo leo, hiyo ni ya leo 

Huenda kesho iyo rada ibadilike 

Matatizo uliyo nayo, ni ya leo 

Hizo shida ulizo nazo, ni za leo 

Huenda kesho iyo rada ibadilike 


Rada ibadilike (ulalala) 

Huenda kesho iyo rada ibadilike (ulalala) 

Rada ibadilike (ulalala) 

Huenda kesho iyo rada ibadilike (ulalala)