Kwa Mji Wa Mwangaza

Lyrics:

Kwa mji wa mwangaza hapana usiku, 

hautapita tena, hapana usiku 


Mungu atayafuta machozi na hasara hapo 

miaka itakoma hapana usiku 2


Na mji ule hauhitaji jua wala mwezi kuuangaza kwa maana utukufu wa Mungu huutia nuru

na taa yake ni mwana kondoo..


Jua halitakiwi hapana usiku ...

Yesu ndiye nuru kweli hapana usiku uuuh... 


Mungu atayafuta machozi na hasara 

hapo miaka itakoma hapana usiku 


kwa mji wa mbinguni

hapana usiku,

Milele furahini, hapana usiku

 

 Mungu atayafuta machozi na hasara, 

 hapo miaka itakoma hapana usiku (x3)


Kwa mji wa mwangaza hapana usiku, 

hautapita tena, hapana usiku