Elohim Adonai Yahweh - Jehovah

  • 09 Jun 2017
  • Frank Njuguna
  • kuabudu

Lyrics:

Jehovah Adonai elohim

Elohim Adonai,Yahweh
Wewe ni Mungu wa Kweli
Elohim Adonai,Yahweh
Wewe ni Mungu wa Kweli

Jehovah
Elohim Adonai,Yahweh
Wewe ni Mungu wa Kweli
Jehovah Elohim
Elohim Adonai,Yahweh
Wewe ni Mungu wa Kweli

Elohim Nainama mbele zako
Nakuabudu, wewe ni mkuu
Adonai Nainama mbele zako
Wewe ni Mungu wa Kweli

Elohim Mungu mwenye nguvu
Mfalme wa wafalme
Wastahili ...
Adonai, Bwana wa mabwana
Mungu wa Miungu
Hakuna kama wewe eeeh

Jehova Elohim
Elohim Nainama mbele zako
Nakuabudu, wewe ni mkuu
Adonai Nainama mbele zako
Wewe ni Mungu wa Kweli

Elohim Nainama mbele zako
Nakuabudu, wewe ni Mungu wa kweli
Nakuabudu, wewe ni Mungu wa kweli
Nakuabudu, wewe ni Mungu wa kweli
Nakuabudu, wewe ni Mungu wa kweliSource: Elohim Adonai Yahweh - Jehovah Lyrics - Frank Njuguna