Tunakuabudu - Wastahili ewe Bwana Kupokea utukufu

Lyrics:

Tunakuabudu Bwana
Tunakuabudu.
Tunakuabudu Jehovah
Tunakuabudu.
Tukisema

Wastahili ewe Bwana
Wastahili ewe Bwaa
Wastahili ewe Bwana
Kupokea Utukufu.

Tunakuinua Bwana
Tunauinuia

Tunakubariki Bwana
Tunakukubariki

Tunakuheshimu Bwana
Tunakuheshimu

Wastahili ewe Bwana
Wastahili ewe Bwana
Wastahili ewe Bwana
Kupokea Utukufu.


Source: Tunakuabudu - Wastahili ewe Bwana Kupokea utukufu Lyrics - Dan Em