Hapo mwanzo kulikwa na neno

  • 26 May 2017
  • Christina Shusho
  • sifa

Lyrics:

Hapo mwanzo kulikwa na neno
naye neno alikuwa kwa mungu
na tena neno huyu alikuwa mungu
naye neno alifanyika mwili akaja
akakaa kwetu tukauona utukufu
wake mwana kondoo yohana
alimwona amevikwa vazi lilichovya
katika damu na jina lake lilikua mwana wa mungu Source: Hapo mwanzo kulikwa na neno Lyrics - Christina Shusho