Sasa Narudi

  • 11 Feb 2018
  • Angela Chibalonza
  • swahili

Lyrics:

Nimetembelea mbali, Sasa narudi;
Nilipotea dhambini, Sasa narudi.

Narudi, narudi, Kutoka mbali;
Sasa unikaribishe, Bwana narudi

Nimepoteza miaka mingi, Sasa narudi;
Tena nazitubu dhambi, Sasa narudi.

Narudi, narudi, Kutoka mbali;
Sasa unikaribishe, Bwana narudi

Nimechoka na dhambi, Bwana, Sasa narudi.
Neno lako naamini, Sasa narudi.

Narudi, narudi, Kutoka mbali;
Sasa unikaribishe, Bwana narudi

Nimevunjika, siwezi, Sasa narudi;
Nipate nguvu na amani, Sasa narudi.

Narudi, narudi, Kutoka mbali;
Sasa unikaribishe, Bwana narudi Source: Sasa Narudi Lyrics - Angela Chibalonza